Na Joseph Ngilisho..ARUSHA
MBUNGE wa Arusha mjini Mrisho Gambo amelazimika kuomba radhi bunge baada ya kubanmwa kuhusu tuhuma za uongo alizoziibua bungeni kuhusu ufisadi katika miradi ya jiji la Arusha pamoja na kumtuhumu uongo waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na seikali za mitaa Tamisemi.Mohamed Mchengerwa .
“..malumbano hayo yalipelekea mradi kusimama kwa muda mrefu mpaka mwaka 2023 baada ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kuingilia kati na baadhi ya watumishi kushtakiwa, Kamati ya Fedha, mbunge alikuwa ni mjumbe kamati ya fedha wakati huo, hakushiriki kikao husika kwa ruhusa lakini posho alichukuwa….,”- Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI - Mohammed Mchengerwa ALISEMA!
0 Comments